pmbet

Polisi yaendelea na operation kwa waliokaidi kuondoa namba za 3d

Eric Buyanza

March 20, 2024
Share :

ARUSHA: Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani kimeendelea na operesheni ya kutoa elimu na kuwakamata wale wote wanaoendelea kuvunja sheria za usalama Barabarani huku Jeshi hilo likiwapongeza wale wote waliotii agizo la serikali la kuondoa namba ambazo hazijasibitishwa na mamlaka ya viwango Tanzania (TBS). 

Akiwa katika Operesheni hiyo mkoani Arusha, Mkuu wa Operesheni za kikosi cha Usalama barabarani Nchini kamishna msaidizi wa Polisi ACP Nasoro Sisiwayah amesema kikosi hicho kinaendelea kuwakamata wale wote walio kaidi agizo la kuondoa namba zenye ujazo za 3D na ving’ora.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet