Polisi yakamata tani 1.8 za Cocaine
Eric Buyanza
May 2, 2024
Share :
Polisi wamefanikiwa kunasa tani 1.8 za madawa ya kulevya aina ya cocaine kutoka katika mashua iliyokuwa imetia nanga kwenye bandari ya Marigot kwenye kisiwa cha Saint Martin, kinachotawaliwa na Ufaransa.
Vyanzo vinaeleza kuwa wahusika wa chombo hicho kilichokamatwa na mzigo walitorokea kusikojulikana kabla ya kutiwa nguvuni.