Polisi yamsaka aliyeweka dawa ya nguvu za kiume kwenye tanki la maji ya kanisa
Eric Buyanza
April 5, 2024
Share :
Polisi mjini Bulawayo nchini Zimbabwe, wameanzisha msako mkali wa kumtafuta kijana aliyeweka dawa ya kuongeza nguvu za kiume maarufu kwa jina la (Viagra) kwenye tanki la maji la kanisa wakati wa ibada.
Mshukiwa ametambuliwa kwa jina la Tracy Sibanda mwenye umri wa miaka 18, na inasemekana alitekeleza unyama huo siku ya Pasaka na kuzua taharuki ndani ya kanisa.
Haijaeleweka bado kijana huyo alitoka wapi na wazo hilo la kifedhuli