Prisca Kishamba asaini dili nono la ubalozi PM-Bet
Sisti Herman
September 4, 2024
Share :
Mtangazaji maarufu wa vipindi vya michezo nchini Prica Kishamba ametangaza kurejea kuwa balozi wa kampuni namba moja ya michezo ya ubashiri nchini @pmbet.co.tz ambayo ameitumikia kwa muda mrefu sasa.
Anaandika @officialpriscakishamba
_____
Ninayo furaha kuwajulisha kuwa nimejiunga rasmi na familia yangu ya muda mrefu kampunia namba moja ya michezo ya kubashiri nchini Tanzania @pmbet.co.tz
@pmbet.co.tz ni moja ya kampunia za mwanzo kuniamini nakunipa kazi kama Brand influencer wao, naomba kama mnavyoendelea kunisapoti kwenye kazi zangu basi kuanzia leo kuwanja chetu ni kimoja tu @pmbet.co.tz
Wazee wa ODDS mpo tayari? tuanze na mechi za leo nini