pmbet

Prof Nabi aiba mwingine Yanga!

Eric Buyanza

December 4, 2023
Share :

Aliyekuwa kocha mkuu wa klabu ya Yanga, Nasredine Nabi ambaye kwa sasa anafundisha timu ya ASFAR ya Morocco amemjumuisha kwenye timu yake ya ufundi pale Al Hilal aliyekuwa mtathmini wa viwango (Perfomance/ Video Analyst) wa Yanga Halil Bin Youssuf.
 

Halil alikuwa mmoja wa wasaidizi wa Nabi akiwa na majukumu ya kutathmini viwango vya wachezaji wa timu yake na wapinzani kimbinu na kiufundi na kuandaa ripoti itakayomsaidia Nabi kutengeneza mipango ya mchezo na kwa pamoja walishinda makombi ya ligi kuu, ASFC, Ngao ya jamii na kufika fainali ya kombe la shirikisho barani Ulaya.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet