Prof. Nabi aipongeza Yanga kutwaa Ubingwa wa Ligi Kuu
Sisti Herman
May 14, 2024
Share :
Aliyekuwa Kocha Mkuu wa klabu ya Wananchi Yanga, Nasredine Mohamed 'Nabi' kupitia mtandao wake wa Instagram 'insta story' ameipongeza klabu hiyo kutwaa Ubingwa wa tatu mfululizo wa ligi kuu Tanzania bara.
Nabi ambaye kwasasa ni kocha Mkuu wa AS FAR Rabat inayoongoza ligi kuu ya Morocco ameondika "Hongera Yanga mmestahili".
Huo unakuwa Ubingwa wa 30 wa ligi kuu kwa Wananchi.