PSG kuchunguzwa kisa Bllon D'or za Messi
Sisti Herman
January 7, 2024
Share :
Jarida la Le Monde limethibitisha taarifa za klabu ya PSG kuanza kuchunguzwa kwa madai ya kumshinikiza kwa kumhonga mhariri mtendaji wa jarida la France Football linaloandaa tuzo maarufu za soka za Ballon D'or ili mshambuliaji wa timu hiyo Lionel Messi kwa msimu ashinde 2020 na 2021.