pmbet

PSG wamefikia makubaliano ya mdomo na Ajax kumsajili Mika Godts

Eric Buyanza

August 14, 2026
Share :

Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) imefikia makubaliano ya mdomo (verbal agreement) na klabu ya Ajax kwa ajili ya kumsajili winga machachari raia wa Ubelgiji, Mika Godts.

 

Mwandishi wa habari za usajili wa soka duniani, Fabrizio Romano, amethibitisha kuwa dili hilo limefikia hatua ya mwisho baada ya PSG kutuma ofa mpya rasmi.

Kifurushi kizima cha ada ya uhamisho kinatajwa kufikia €55 milioni (sawa na  Shilingi Bilioni 168.4 za Kitanzania).


 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet