pmbet

PSG wanaitaka saini ya Désiré Doué kwa dau la Euro milioni 60

Eric Buyanza

July 24, 2024
Share :

Klabu ya PSG inapanga kutoa ofa yake ya pili leo kwa ajili ya kumsajili mchezaji Désiré Doué wa Klabu ya Rennes ya Ufaransa kwa dau la Euro milioni 60 ikiwa ni pamoja na bonasi.

Kwa dau hili PSG wana matumaini ya kuwashinda Bayern Munich ambao nao wanaililia saini ya mchezaji huyo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet