pmbet

PSG yaiwashia taa ya kijani Madrid kwa Mbappe

Sisti Herman

January 8, 2024
Share :

 Taarifa kuhusu usajili wa mshambuliaji Kylian Mbappe ni kuwa nyota huyo wa Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) ambaye yupo katika miezi sita ya mwisho kumalizia mkataba wake anatarajiwa kujiunga na Real Madrid akiwa mchezaji huru kuanzia msimu ujao wa 2024/25.

 

Inadaiwa Mbappe ambaye anaruhusiwa kuzungumza na klabu yoyote kwa sasa kuhusu usajili wake, amekubaliana na Madrid upande wa maslahi yake na mambo mengine kadhaa licha ya kuwa Liverpool nayo ni moja ya Klabu inayoonesha nia ya kutaka kumsajili.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet