pmbet

Putin aja na chanjo ya kansa!

Eric Buyanza

February 16, 2024
Share :

Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesema wanasayansi nchini humo wanakaribia kutengeneza chanjo ya saratani (kansa) ambayo itaanza kupatikana hivi karibuni.
 

Akizungumza juzi katika kituo kimoja cha televisheni nchini humo Putin amesema: “tumekaribia sana kuundwa kwa kinachojulikana kama chanjo ya saratani na dawa za kinga za kizazi kipya”.
 

“Natumai kwamba hivi karibuni zitatumika kwa ufanisi kama njia za matibabu ya mtu binafsi,” aliongeza, akizungumza katika kongamano la Moscow juu ya teknolojia ya siku zijazo.
 

Putin hakutaja aina gani za saratani ambazo chanjo zilizopendekezwa zingelenga, wala jinsi gani zitafanya kazi.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet