pmbet

Pyramids yakaushia mkataba mpya wa Fiston Mayele.

Joyce Shedrack

May 30, 2026
Share :

Fiston Mayele anaweza kuondoka Pyramids baada ya kuitumikia miamba hiyo ya Misri kwa misimu mitatu, wakati mkataba wake unatarajiwa kutamatika Juni 30 mwaka huu.

Fiston Mayele talks about his future with Pyramids FC - Yahoo Sports

Mchezaji huyo wa kimataifa wa DR Congo, ambaye ameandika historia na klabu hiyo ya Misri, anatarajiwa inasemekana anataka kutimkia ligi ya Saudi Arabia.

 

Lakini hadi sasa, hakuna dalili za kuongezwa mkataba mpya, na inaonekana Mshambuliaji huyo wa zamani wa Yanga ataondoka msimu huu wa joto kama mchezaji huru.

 

Jambo muhimu katika muda wa Mayele huko Pyramids FC lilikuwa kushinda Ligi ya Mabingwa msimu uliopita na kuweka rekodi yake binafsi kama Mchezaji kutokana na ukubwa wa mashindano hayo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet