Rafa Marin na Alex Jimenez kutimka Real Madrid wiki hii
Eric Buyanza
June 20, 2024
Share :
Kwa mujibu wa mtaalamu na gwiji la uhamisho wa soka, Fabrizio Romano, wachezaji hao Rafa Marin atasaini Napoli kwa mkataba wa kudumu wenye thamani ya takriban Euro milioni 10, huku timu hiyo ya LaLiga ikipokea Euro milioni 5 kutoka AC Milan kwa ajili ya Alex Jimenez.