Rafiki yake Lamine Yamal aungana na Pogba AS Monaco.
Joyce Shedrack
July 1, 2025
Share :
Klabu ya AS Monaco ya Ufaransa imetangaza kukamilisha usajili wa winga wa winga wa Timu ya Taifa ya Hispania Ansu Fati kwa mkopo akitokea Barcelona kwa mkataba wa kumnunua moja kwa moja.
Ansu mwenye umri wa miaka 22 ambaye ni mzaliwa wa Guinea-Bissau ameungana rasmi na nyota wa zamani wa Manchester United Paul Pogba ambaye hivi karibuni ametambulishwa rasmi klabuni hapo.