Rais Brazil aomba hifadhi Argentina
Sisti Herman
August 31, 2025
Share :
Rais wa zamani wa Brazil, Jair Bolsonaro, anaripotiwa kuandika barua kwa Rais wa Argentina, Javier Milei, akiomba hifadhi ya kisiasa.
Polisi ya Shirikisho walisema barua hiyo ilipatikana kwenye simu ya Bolsonaro Februari mwaka jana, siku mbili baada ya passport yake ya kusafiri kushikiliwa. Haijulikani kama barua hiyo ilitumwa.