Rais Chad afukuza majeshi ya Ufaransa, adai yanatorosha madini
Sisti Herman
April 23, 2025
Share :
Rais wa Chad Mahamat Déby mwenye umri wa miaka 41 amefukuza majeshi ya Ufaransa na vifaa vyao vya ulinzi baada ya kudai kuwa uchunguzi umebainisha wanahusika na utoroshaji wa madini yanayochimbwa nchini humo.
"Ni mwanga mpya kwa taifa huru la Chad, tunatakiwa kutawala vya kwetu kwaajili ya kesho ya watu wetu" alinukuliwa hivyo Rais huyo baada ya kuchukua hatua hiyo.
Mahamat Déby anafananishwa na sera za utawala za Rais wa Burkina- Faso Capt. Ibrahim Traore.