pmbet

Rais DRC akutana na Viongozi wa dini

Sisti Herman

February 13, 2025
Share :

Rais wa DRC Felix Tshisekedi amekutana na viongozi wa kidini Jijini Kinshasa ambapo walijadili hali ya usalama mashariki mwa nchi hiyo pamoja na hatua ya waasi wa M23 kudaiwa kuingia katika Mji Mkuu wa Kivu Kaskazini.

Viongozi hao wa makanisa pia waliwasilisha mapendekezo yao ya kumaliza mzozo unaoendelea kwa rais Tshisekedi, mapendekezo walioyaita kama “Social Pact for Peace”. Mapendekezo yaliowasilishwa tangu mwezi uliopta ambao yataleta majibu katika kuzidisha uwiano wa kitaifa.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet