pmbet

Rais Mstaafu wa Zambia Edgar Lungu afariki dunia

Sisti Herman

June 5, 2025
Share :

Rais mstaafu wa Zambia Edgar Lungu amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 68, chama chake cha Patriotic Front kimethibitisha.

Lungu amefariki dunia nchini Afrika kusini alipokuwa akipatiwa matibabu baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Lungu ameiongoza Zambia kwa miaka 6 kuanzia mwaka 2015 na baadae kupoteza uchaguzi mkuu kwa Rais wa sasa Haikainde Hichilema.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet