pmbet

Rais mwanamke ajiuzulu Hungury

Sisti Herman

February 11, 2024
Share :

Rais wa Hungary, Katalin Novak ametangaza kujiuzulu baada ya kukosolewa vikali kwa kutoa msamaha kwa mtu aliyeficha taarifa katika kesi ya unyanyasaji wa kingono kwa watoto.

 

Mtu huyo alitiwa hatiani kwa kuwalazimisha watoto kubadili kauli zao kuhusu madai hayo dhidi ya msimamizi wa kituo cha serikali cha kulea watoto.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet