pmbet

Rais Samia akutana na manusura wa ajali ya shule ya Lucky Vicent.

Joyce Shedrack

November 2, 2024
Share :

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Sadhia Abdallah, wapili kulia Doreen Mshana wa kwanza (kulia), Wilson Tarimo wapili (kushoto) tarehe 31 Oktoba 2024, mjini Iowa, nchini Marekani.

Vijana hawa watatu ni manusura wa ajali ya basi la Shule ya Msingi Lucky Vincent iliyotokea Mei 6, 2017 katika eneo la Rothia wilayani Karatu Mkaoni Arusha. Vijana hao wapo nchini Marekani wakiendelea na masomo ya elimu ya juu katika Vyuo Vikuu tofauti.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet