pmbet

Rais Samia ampongeza Putin

Sisti Herman

March 22, 2024
Share :

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amempongeza Rais wa Urusi Bwana Vladmir Putin kwakuchaguliwa tena kuwa Rais wa Urusi kwa awamu nyingine kuendelea kuiongoza Urusi.

 

“Kwa niaba ya Serikali na Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, natoa pongezi zangu za dhati kwa Mheshimiwa Rais Vladimir Putin kwa kuchaguliwa tena kuwa Rais wa Shirikisho la Urusi. Tunatarajia kuendelea kufanya kazi kwa pamoja ili kuimarisha mahusiano baina ya Tanzania na Urusi” aliandika Mama Samia kupitia mitandao yake ya kijamii.

 

Putin anaendelea tena kuwa madarakani nchini Urusi ikiwa awamu yake ya nne tangu mwaka 2000 hadi sasa.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet