Rais Samia amteua Mombo kuwa Mkurugenzi Usama wa Taifa
Sisti Herman
July 11, 2024
Share :
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua na kumuapisha Suleiman Abubakar Mombo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa.
Kabla ya uteuzi huu, Mombo alikuwa Afisa Mwandamizi wa Ofisi ya Rais, Ikulu, Mombo amechukua nafasi ya Balozi Ali Idi Siwa ambaye amestaafu.