Rais Samia amuapisha Jaji Mkuu mpya
Sisti Herman
June 15, 2025
Share :
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemuapisha rasmi George Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania katika hafla iliyofanyika Chamwino mkoani Dodoma tarehe 15 Juni, 2025.
Jaji Masaju anachukua nafasi ya Jaji Profesa Ibrahim Juma, ambaye amestaafu utumishi.