Rais Samia aomba kura jimboni kwa Spika Tulia
Sisti Herman
September 5, 2025
Share :
"Sisi tunasema kazi na utu, Yaaani serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) inafanya kazi ikijua ina watu inawahudumia, na kuheshimu Utu wa mtanzania, kwahiyo tunafanya kazi tukijua kuna watu lazima tuwahudumie na mambo yao yaende, lazima mambo yao ya kiuchumi yanawiri, ustawi wa jamii uwepo na ndiyo maana tunasema Kazi na Utu tunasonga mbele"
Dkt. Samia Suluhu Hassan Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM.