pmbet

Rais Samia aongoza Kikao cha kamati kuu CCM Zenji

Sisti Herman

January 15, 2024
Share :

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa Mapema Leo Tarehe 15 Januari 2024, Visiwani Zanzibar.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet