Rais Samia arejesha fomu ya kutetea kiti chake.
Joyce Shedrack
August 27, 2025
Share :
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan arejesha Fomu za kugombea nafasi hiyo katika Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Njedengwa Jijini Dodoma.