Rais Samia ashiki na kuhudhuia Mkutano wa Korea na Afrika
Sisti Herman
June 4, 2024
Share :
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amejumuika pamoja na Viongozi wa Nchi mbalimbali za Afrika kwenye ufunguzi wa mkutano wa Korea na Afrika uliofanyika Kintex, nje kidogo ya Jiji la Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 04 Juni, 2024.