Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Kassim Seif Ndumbo, Mkurugenzi Mtendajiwa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia.