Rais Samia atunukiwa Udaktari wa heshima Chuo kikuu Korea
Sisti Herman
June 3, 2024
Share :
Akiendelea na ziara rasmi nchini Korea, Chuo kikuu cha sayansi ya anga cha Korea (Korea Aerospace University) kimemtunuku Udaktari wa falsafa wa heshima (Hororis Causa) kwenye sekta ya anga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan.
Kwenye picha ni Rais wa Chuo hicho Hee Young Hurr akimkabidhi cheti Rais Samia kwenye hafla hiyo iliyofanyika jijini Seoul, Jamhuri ya Korea.