Rais Samia awasili Afrika Kusini kuhudhuria uapisho wa Ramaphosa
Sisti Herman
June 19, 2024
Share :
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kusafiri kuelekea Jamhuri ya Afrika Kusini leo jioni kwa ziara ya kikazi ya siku moja kushiriki hafla ya uapisho wa Rais Mteule, Matamela Cyril Ramaphosa ambaye amechaguliwa kuwa Rais wa Nchi hiyo.
Rais Mteule Matamela Cyril Ramaphosa anatarajiwa kuapishwa June 19, 2024.