pmbet

Rais Samia awatakia heri Yanga kwenye mchezo wao wa Ijumaa, Afrika Kusini

Eric Buyanza

April 1, 2024
Share :

“Nimekuja hapa kufikisha salamu za Serikali chini ya Daktari Samia Suluhu Hassan, kila kinachoendelea yeye anafuatilia kwa umakini na anawatakia kila la heri kwenye Safari hii na kwenye mchezo wetu siku ya ijumaa"
 

"Kwanza niwapongeze sana kwa uamuzi wa kusafiri kwa basi kwani mngeweza kusema mbaki nyumbani na kutazama mechi kwenye Tv, Hii inamaanisha nyinyi ni wafia Yanga, Hongereni sana."
 

“Uzuri kiwango cha timu yetu mmekiona na kinaridhisha, mpinzani tunayekwenda kucheza naye hana faida ya Mashabiki wengi hivyo naamini Nguvu ya kushangilia ambayo mnayo itakwenda kuleta tija kwenye mchezo wetu siku ya ijumaa.” amesema - Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet