pmbet

Rais Samia kushiriki ibada ya miaka 40 ya kifo cha Sokoine

Eric Buyanza

March 29, 2024
Share :

Rais Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwaongoza viongozi mbalimbali pamoja na baadhi ya Watanzania kwenye ibada maalum ya kumbukizi ya miaka 40 ya Hayati Edward Moringe Sokoine, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, itakayofanyika Aprili 12, 2024, saa 3:00 Asubuhi katika Kijiji cha Enguik, Monduli Juu mkoani Arusha.
 

Ibada hiyo imeandaliwa na familia ikishirikiana na Taasisi ya Hayati Edward Moringe Sokoine.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet