Rais Samia kushiriki Kongomano la Kiswahili Cuba - Polepole
Sisti Herman
June 30, 2024
Share :
Balozi wa Tanzania nchini Cuba Humphrey polepole amethibitisha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anatarajiwa kushiriki katika kongamano la kiswahili linalotarajiwa kufanyika nchini Cuba.
Balozi Polepole anawakaribisha watanzania wote pamoja na wadau mbalimbali wa kiswahili Afrika kushiriki katika kongamano hilo.