pmbet

Rais Samia Mgeni Rasmi usiku wa Tuzo za wachekeshaji Tanzania.

Joyce Shedrack

February 17, 2025
Share :

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwa mgeni rasmi kwenye usiku wa tuzo za wachekeshaji Tanzania 'Tanzania Comedy Awards' February 22,2025 katika ukumbi wa The Super Dome Masaki Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma maarufu Mwana FA amethibitisha hilo akiwa kwenye tukio la All-Star Comedy Festival, lilofanyika Mlimani City.

 

Hata hivyo,Ukurasa rasmi wa tuzo hizo umethibitisha taarifa hiyo baada ya kuchapisha taarifa rasmi kuwa Mgeni Rasmi wa tukio hilo atakuwa ni Rais Samia.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet