pmbet

Rais wa CAF awasili Zanzibar kwaajili ya michuano ya vijana

Sisti Herman

May 24, 2024
Share :

Rais wa CAF Patrice Motsepe amewasili leo Zanzibar kwenye Fainali za African Schools Football na kupokelewa na mwenyeji wake Rais wa TFF Wallace Karia.

 

Michuano hiyo hadi sasa ipo kwenye siku ya mwisho ambapo kwa wavulana timu za Tanzania na Guinea ambao ni mabingwa watetezi wametinga hatua ya fainali huku kwa wasichana timu za Morocco na Afrika kusini zikiwa hatua ya fainali.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet