pmbet

Rais wa FIFA ajing'atang'ata sakata la mwamuzi wa Somalia

Sisti Herman

June 11, 2026
Share :

 

wa Shirikisho la soka duniani (FIFA) Gianni Infantino jana kwenye mkutano na wanahabari aliulizwa kuhusu sakata la kuzuiliwa kwa mwamuzi wa Somalia Omar Artan kuingia nchini Marekani, akatoa majibu yaliyowaacha watu midomo wazi.

"Hatudhibiti kila kitu kinachotokea ulimwenguni. Hatudhibiti nchi au taasisi za usalama. Tunafanya kazi kwa upande wa michezo na sisi ni shirika la michezo. Tunatafuta kuunganisha ulimwengu na kutafuta suluhisho kwa shida zote zinazotokea." alijibu hivyo Gianni.

Wengi wamehoji ni kwanini Rais wa FIFA hawezi kuwa na udhibiti wa mchezo anaouongoza mwenyewe kiasi cha kuyumbishwa na nchi moja.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet