Rais wa FIFA atangaza kugombea tena nafasi ya Urais.
Joyce Shedrack
September 6, 2026
Share :
Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Gianni Infantino amethibitisha kuwa atagombea tena nafasi hiyo katika uchaguzi utakaofanyika Machi 2027, licha ya shinikizo la kumtaka ajiuzulu.