pmbet

Rais wa klabu anaswa akichukua 'cha juu' wakati wa usajili

Sisti Herman

April 25, 2025
Share :

 

Rais wa klabu ya San Lorenzo ya ligi kuu nchini Argentina Marcelo Moretti ametuhumiwa na kufikishwa kweye vyombo vya sheria baada ya kukutwa na hatia ya kupokea Rushwa ya $25,000 (zaidi ya Tsh milioni 67) ili kumsajili mchezaji kijana kwenye dirisha kubwa la usajili 2024.

Kwenye mkanda video fupi iliyotegeshwa, ikavuja na kuchapishwa na Canal 9, mama mzazi wa kijana huyo alisikika akimwambia Rais huyo anampa kiasi hicho ca fedha ili aweze kumsaini mwanae.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet