Rais wa TFF Wallace Karia kuhudhuria mkutano wa Kamati ya Utendaji ya CAF.
Joyce Shedrack
July 4, 2025
Share :
Rais wa TFF ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya CAF, Wallace Karia ameondoka leo kwenda Morocco kuhudhuria Mkutano wa Kamati ya Utendaji ya CAF.

Rais Karia pia anatarajia kuwa na mazungumzo na Rais wa CAF Patrice Motsepe kuhusu maandalizi ya CHAN inayotarajia kuanza Agosti 2, 2025 Tanzania, Kenya na Uganda.





