Rais wa UEFA na ECA kukutana kujadili hatma ya Infantino
Sisti Herman
August 4, 2026
Share :

Rais wa shirikisho la soka barani Ulaya (UEFA) leksander Ceferin na Rais wa Umoja wa vilabu barani Ula (ECA) na Rais wa klabu ya PSG Nasser Al-Khelaifi wanatarajiwa kukutana Salzburg kujadili mpango wa kususia Kombe la Dunia la Klabu iwapo Gianni Infantino ataendelea kuwa madarakani.
Aidha, baadhi ya viongozi wa ngazi ya juu wanataka kuachana na cheo cha Rais wa FIFA na badala yake kuunda timu ya uongozi itakayoongozwa na mwenyekiti.





