Ramadhani Brothers washinda American Got Talent
Sisti Herman
February 20, 2024
Share :
Wanasarakasi kutoka Tanzania Ramadhan Brothers wamefanikiwa kuibuka washindi kwenye shindano la America’s Got Talent: Fantasy League na kujishindia mkwanja kiasi cha dola $250,000 ambazo ni sawa na Tsh Milioni 637/=
Ramadhan Brothers wanaweka historia ya kuwa Waafrika wa kwanza toka Afrika kuwahi kushinda shindano hilo La AGT (America Got Talent: Fantasy League)