Rapa 6ix9ine akiri kumiliki dawa za kuelevya nyumbani kwake.
Joyce Shedrack
July 25, 2025
Share :
Taarifa za vyombo vya habari nchini Marekani rapa @6ix9ine amekiri kosa la kumiliki dawa za kulevya mara tu polisi kuvamia nyumba yake mjini Miami.
Tekashi Amedai Ni Kweli kuwa alikuwa na cocaine na MDMA, jambo ambalo limekiuka masharti ya uangalizi wake wa kifungo cha nje aliyowekewa kufuatia kesi ya awali ya genge la Nine Trey tagu mwaka 2018.
Hukumu yake rasmi inatarajiwa kutolewa mwezi Septemba mwaka huu.
Hii inaweza kumletea mpoteza kabisa uraiani kutokana na historia yake ya makosa ya jinai yasiyorekebishika