Rapa ampa mkewe tuzo 6
Sisti Herman
March 18, 2024
Share :
Rapa kutoka nchini Marekani Darryl Dwayne maarufu kama DDG amemtengenezea tuzo ya Mama Bora, mpenzi wake Halle Bailey
Januari, 2024 wawili hao walibahatika kupata mtoto wa kiume aitwaye Halo.
Halle Bailey Alishinda Tuzo 6 kwenye Tuzo za 'Halle Awards' ikiwa ni pamoja na;
• Mchungaji Bora wa Paka
• Mshirika Bora
• Mpenzi
• Msanii Bora
•Mwanamke Bora
•Mama Bora
Iliyowasilishwa & Inasimamiwa na: Ddg Granberry & Halo