pmbet

Rapa Soulja Boy ajitosa kuinunua 'TikTok'

Eric Buyanza

April 26, 2024
Share :

Rapa wa Marekani, Soulja Boy ameonyesha nia ya kuinunua kampuni ya mtandao wa kijamii wa TikTok.

Rapa huyo anakuwa mtu wa kwanza (mmarekani) kuonesha nia yake hadharani ya kuununua mtandao huo, siku moja baada Rais wa Marekani, Joe Biden kutia saini muswadawa wa sheria ambao unaitaka kampuni hiyo inayomilikiwa na Mchina kupigwa marufuku nchini Marekani ikiwa haitauzwa kwa mmarekani ndani ya miezi tisa inayokuja.

Kwenye ukurasa wake wa X (zamani Twitter), Soulja Boy aliilaani sheria hiyo mpya, akisema iwapo mamlaka za Marekani zitapiga marufuku TikTok, basi siku zijazo wanaweza kupiga marufuku mtandao mwingine wowote.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet