pmbet

Rapa wa Marekani jel miezi 9 kwa kutumia bangi akiwa jukwaani.

Joyce Shedrack

December 20, 2025
Share :

Rapa wa Marekani Wiz Khalifa amehukumiwa jela kwa muda wa miezi tisa baada ya kukutanika na hatia ya matumizi ya bangi kwenye show yake iliyofanyika Nchini Romania Julai 2024.
Wiz Khalifa | Reggae Rise Up Artist
Kwa mujibu wa taarifa za polisi kutoka nchini humo Rapa #Wizkhalifa alikutwa na gram 18 za bangi ambapo kiasi kadhaa alikitumia alipokuwa anatumbuiza Jukwaani. 

 

Kutokana na sheria za Nchi ya Romania ni kosa kisheria kwa raia kumiliki bangi kwa matumizi binafsi na adhabu yake huwa ni kifungo cha jela kwanzia miezi mitatu au faini,Japo bado hakuna taarifa kamili Kama Mamlaka za Romania watatafuta ombi maalum la kumfunga ukizingatia Wiz Khalifa ni Raia wa Marekani.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet