Rapa wa Marekani Lil Poppa afariki Dunia.
Joyce Shedrack
February 19, 2026
Share :
Rapa wa Marekani Lil Poppa, ambaye jina lake halisi lilikuwa ni Janarious Mykel Wheeler, amefariki akiwa na umri wa miaka 25.
:max_bytes(150000):strip_icc()/Lil-Poppa-Last-Lap-Tour-2024-021826-1996901cfd9b44e093b1557fd9dcdf08.jpg)
Taarifa za vifo vyake ilithibitishwa rasmi na Fulton County Medical Examiner’s Office huko Georgia, Marekani mnamo Februari 18, 2026; bado sababu kamili ya kifo haijawekwa hadharani huku uchunguzi ukiwa unaendelea.





