pmbet

Rapa wa Marekani R.Kelly atatoka jela mwaka 2045 akiwa na miaka 78.

Joyce Shedrack

February 12, 2026
Share :

Rapa maarufu wa Marekani Robert Kelly maarufu R. Kelly ambaye alihukumiwa kwa miaka 31 jela anatarajiwa kutoka jela mwaka 2045 au 2046 atakapokuwa na umri wa miaka 78. 
US court upholds R Kelly's 20-year prison term for child sexual abuse | R  Kelly | The Guardian
Staa huyo alihukumiwa miaka 30 Juni 2022 kwa hatia yake ya ulanguzi na biashara ya ngono huko New York, na alihukumiwa tena mwaka 1 na miezi 9 zaidi mwezi Februari 2023 kwa kesi tofauti ya ponografia ya watoto huko Chicago.

Kulingana na hukumu yake mwaka ambao anaweza kutoka jela unakadiriwa  kuwa 2045 au 2046 ikiwezekana, kutokana na kifungo chake cha miaka 31. 
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet