pmbet

Rashford aachwa England kuelekea Euro 2024

Sisti Herman

May 22, 2024
Share :

Kocha wa timu ya Taifa ya Uingereza Gareth Southgate ametaja kikosi cha awali kujiandaa na michuano ya kombe la mataifa ya Ulaya mwaka 2024 (Euro 2024) ambapo kwenye kikosi hicho kumekosekana majina ya wachezaji nyota kama Marcus Rashford na aliyekuwa nahodha wa timu hiyo Jordan Henderson.

Hichi hapa kikosi cha timu ya Taifa Uingereza kuelekea EURO 2024;

Makipa; 

Dean Henderson (Crystal Palace), Jordan Pickford (Everton), Aaron Ramsdale (Arsenal), James Trafford (Burnley).

Mabeki;

Jarrad Branthwaite (Everton), Lewis Dunk (Brighton), Joe Gomez (Liverpool), Marc Guehi (Crystal Palace), Ezri Konsa (Aston Villa), Harry Maguire (Manchester United), Jarell Quansah (Liverpool), Luke Shaw (Manchester United), John Stones (Manchester City), Kieran Trippier (Newcastle), Kyle Walker (Manchester City)

Viungo;

Trent Alexander-Arnold (Liverpool), Conor Gallagher (Chelsea), Curtis Jones (Liverpool), Kobbie Mainoo (Manchester United), Declan Rice (Arsenal), Adam Wharton (Crystal Palace).

Washambuliaji;

Jude Bellingham (Real Madrid), Jarrod Bowen (West Ham), Eberechi Eze (Crystal Palace), Phil Foden (Manchester City), Jack Grealish (Manchester City), Anthony Gordon (Newcastle), Harry Kane (Bayern Munich), James Maddison (Tottenham), Cole Palmer (Chelsea), Bukayo Saka (Arsenal), Ivan Toney (Brentford), Ollie Watkins (Aston Villa).

Je unadhani ni sahihi kwa Rashford kuachwa England?

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet