Rashford atinga uzi wa Ronaldo
Sisti Herman
November 3, 2026
Share :

Mshambuliaji wa klabu ya Manchester United Marcus Rashford akiwa na uzi wa klabu ya Al Nassr ya Saudi Arabia wenye jina na namba ya gwiji wa soka Cristiano Ronaldo.
Kama ilivyo kwa wachezaji wengi vijana wa Man United, wamekuwa wakimuona Ronaldo kama kioo kwao kutokana historia aliyoiacha kwenye klabu hiyo akiwa mchezaji pekee aliyewahi kushinda tuzo ya Ballon D'or akiwa na timu hiyo.





