pmbet

Rasmi Jay-Z ndiye mwanamuziki tajiri zaidi duniani

Eric Buyanza

August 22, 2025
Share :

Rapa na mfanyabiasha mkubwa wa muziki nchini Marekani, Sean Carter, maarufu kama Jay-Z, ametangazwa kuwa mwanamuziki tajiri zaidi duniani kwasasa.

Kwa mujibu wa Forbes, bosi huyo wa Roc Nation ana utajiri wenye thamani ya dola Bilioni 2.5.

Utajiri wa rapa huyo unatokana na biashara zake mbalimbali kama vile Roc Nation na kampuni zake za vinywaji vikali.

Pia Jay-Z amepata faida kubwa kutokana na mauzo ya huduma ya kutiririsha muziki ya Tidal na kampuni yake nguo ya Rocawear bila kusahau biashara za kujenga majengo na kuuza.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet